Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini Kocha Emery ni rafiki mzuri wa Pochettino na usiku wa jana Jumatano timu zao zilitarajiwa kumenyana kwenye robo fainali ya Kombe la Ligi, bosi huyo wa zamani wa PSG alisema: “Namwona anafuraha sana Tottenham. “Anainoa timu kubwa na yenye wachezaji wakubwa. Wapo kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya na wanashika nafasi nzuri kwenye Ligi Kuu England kuliko Manchester United.
 
Kiwango chake huko Tottenham ni kikubwa sana. Sidhani kama anafikiria kubadili klabu, lakini ninachomwona ataendelea kubaki kwenye kikosi cha Tottenham na kuendeleza mawazo yake bora. Tottenham imekuwa bora sana chini yake.”
 
Mourinho amedaiwa kuwatibua wachezaji wengi sana katika uongozi wake ukiachana na ugomvi uliofahamika wazi kama wa Paul Pogba, Anthony Martial, Luke Shaw, Eric Bailly na hata wa staa wake mpya aliyemsajili Januari tu hapo, Alexis Sanchez.
 
Beki wa kushoto, Young alikuwa mmoja kati ya wachezaji walioaminiwa sana na Mourinho kuwa ni askari wake mtiifu kama ilivyo kwa Nemanja Matic na ndio hao waliomtaka kocha huyo aendelee kubaki sambamba na Fellaini, ambaye mara kadhaa amekuwa akisifiwa hadharani na Mreno huyo kutokana na kucheza soka ya kiwango cha juu
 
IMEFICHUKA staa wa Liverpool, Mohamed Salah wala hakuwapo kwenye mipango ya Kocha Jurgen Klopp wakati anasajiliwa kwenye kikosi hicho mwaka jana.

Ripoti zinafichua kocha huyo Mjerumani kwenye akili yake alikuwa akimuwaza winga mwingine kabisa na ndiye aliyekuwa akimtaka aje kwenye timu yake na si Mo Salah.
 
Back
Top Bottom