capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ushindani wa kibiashara ni pamoja na propaganda bro. Ukishinda vita vya kisaikolojia basi unakuwa umeshinda hata vita vya soko na kiuchumi. Ndivyo wazungu walichotufanyia Waafrika japo kwa kiwango kingine...
Usije kushangaa tafiti uchwara zikachapishwa kudai kuwa watumiaji wengi wa iPhone ni konki konki master ili kuwatisha vijana huko kwao. Wachina ni tatizo. Kushindana fair and square hawawezi wao ni kuiba tekinolojia za wenzao tu...
Ila nanyi watumiaji wa iPhones mmezidi kujigamba [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
Kujigamba ni haki yetu, sababu bidhaa tunatumia ni bora Duniani!
Wachache wasio na Elimu na washamba wa Technolojia wanaweza kupelekwa na upepo huo wa Kindezi toka uChina!
Simu Bora World Wide ni kutoka kampuni ya APPLE, endeleeni kujifariji na Vi huwawei na vitecno vyenu.