Ha ha ha kweli kabsa broUzi huu siku hizi ni kama landmine na siyo rahisi tena kuparamia watu na maswali ya ajabu ajabu tena unless kama mmezoeana bro...Hata kama mmezoeana napo tahadhari inatakiwa kwa sababu huwezi jua siku hiyo mtu kaamkaje. Waweza jikuta kwenye povu hevi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hahaha kweli kabsa mkuu,,watu wengi sana hasa msimu huu wa sikukuuHahahahah ninge bana,saiv watu kibao kule hapapitiki kabisaaa
Ukipita kurekebsha kucha nistue,,nipo paleHahahahah ninge bana,saiv watu kibao kule hapapitiki kabisaaa
Sikukuu neema kwa wauza nguo na uremboHahaha kweli kabsa mkuu,,watu wengi sana hasa msimu huu wa sikukuu
Kama pale mmeongeza huduma za message ntapita very soonUkipita kurekebsha kucha nistue,,nipo pale
Kabsa,,acha wapige pesa bhnaSikukuu neema kwa wauza nguo na urembo
Ha ha ha huduma zote zipo,,ni ww tu ,,usisahua kipnd hk cha mwsho wa mwaka kuna punguzo la beiKama pale mmeongeza huduma za message ntapita very soon
Hapo sauwa ngoja nijipange sasa.Ha ha ha huduma zote zipo,,ni ww tu ,,usisahua kipnd hk cha mwsho wa mwaka kuna punguzo la bei
Ha ha ha karbu sana!!!Hapo sauwa ngoja nijipange sasa.
Cc Capitalpool na Farkhina [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Unazungumzia iPhone kwa soko la China ama iPhone kwa soko la Dunia.?Cc Capitalpool na Farkhina [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Eee poti pot mzuri wewe yaan very hendsome kabisa,nakufungulia na piemu ukuje unipe material haya
Sijasoma hiyo sredi bro...Unazungumzia iPhone kwa soko la China ama iPhone kwa soko la Dunia.?
Nchi gani nyingine watu wa tabaka la juu hutumia Huawei.?!
View attachment 973309
Huyu atakuwa mwalimu wa Hisabati au Kiingereza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]View attachment 973329
Sijasoma hiyo sredi bro...
Unajua China kuna watu wangapi huko? Unajua Apple ilikuwa inauza iPhones ngapi huko China? Unajua mabilioni ya pesa iliyokuwa imewekeza huko ili kulikamata soko la China?
Yetu macho ila kama ni kweli hizo ni habari nzuri sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]