Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hatari..Kiungo huyo England baada ya kufunga bao hilo alipigwa na chupa iliyorushwa kutoka jukwaa la mashabiki.
Aisee..IMEFICHUKA staa wa Liverpool, Mohamed Salah wala hakuwapo kwenye mipango ya Kocha Jurgen Klopp wakati anasajiliwa kwenye kikosi hicho mwaka jana.
Ripoti zinafichua kocha huyo Mjerumani kwenye akili yake alikuwa akimuwaza winga mwingine kabisa na ndiye aliyekuwa akimtaka aje kwenye timu yake na si Mo Salah.