Niliona. Uliniacha nipambane peke yangu. Ila kama ulivyosema hakana neno. Kalicheka cheka tu na kuguna guna (pengine bado kanaweweseka), kakatoa makwotesheni ya wosia wosia hivi usiotekelezeka halafu hakooo kakatingishika kwenda kwa mtekaji wake. Tuendelee kukaombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23] ilibidi nikapishe kidogo
Na kwako pia bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Niwatakiwe kheri ya sikukuu njema na mapumziko mema!!
Angalizo zuri.Kwa wale watumiaji wa pombe,,usinywe na kuendesha hasa kpnd hk cha sikukuu!
Usalama kwanza
Wabeja bageshi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nawataka heri ya Christmas na Mwaka mpya wanafamilia wa huu uzi pendwa.
Ha ha ha kweli kabsa bro,mtekaji bado ana kazi nae,,kaliachiwa mara moja moja,inaweza kuwa pia kaliiba nywira kakaingia humu kmya kmyaNiliona. Uliniacha nipambane peke yangu. Ila kama ulivyosema hakana neno. Kalicheka cheka tu na kuguna guna (pengine bado kanaweweseka), kakatoa makwotesheni ya wosia wosia hivi usiotekelezeka halafu hakooo kakatingishika kwenda kwa mtekaji wake. Tuendelee kukaombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
😂😂😂😂😂😂😂Kweli mambo yamebadilika. Waliojaliwa matako wana konfidensi kuliko wenye digrii [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 976469
Naamini Capital anatufunga kamba ila kama ni kweli basi nahisi ni yule binti mpole sana asiye na makuu wala ugomvi na mtu. Na kuna kipindi ulishasema kabisa kuwa ni wifey material sijui uliishia wapi. Unanipata bro?Acha masiara tunae humu ndani