Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ha ha ha ha mpe mbinu zako unazotumiaga bro
Ha ha ha mbinu zako na yule mzee wa mwakaleli sio kabsa,,ukizfata zile unafanikiwa sema uwe umejitoa ufahamu kdgoMbinu zangu haziwezi huyu. Ni mpole mno. Mbinu zangu kidogo ziko rafu rafu lakini hazijawahi kuniangusha wala kuniletea msongo wa mawazo [emoji16][emoji16][emoji16]
Mbinu zangu haziwezi huyu. Ni mpole mno. Mbinu zangu kidogo ziko rafu rafu lakini hazijawahi kuniangusha wala kuniletea msongo wa mawazo [emoji16][emoji16][emoji16]
Au akajia kitanzi
Nyie maandaeitini nyie basi tu...Ha ha ha mbinu zako na yule mzee wa mwakaleli sio kabsa,,ukizfata zile unafanikiwa sema uwe umejitoa ufahamu kdgo
Ha hahHahaha sasa Bro tunahofia ukute capitalpool amewekeza isije msabibishia akajirusha kutoka ghorofani
Hakuna kitu kinachoumiza kama ku invest bro,tena unajkuta ume invest ile mazima ha ha haKabisa Bro ningendako huwezi jua investimenti zinaumizaga muda mwingine
Nyie mnahitaji kupigwa msasa aisee. It is not always about material things or monies. Wakati mwingine mambo wala siyo kompliketedi kihivyo. Sema miye nsharitaya loooongi taimu ago [emoji16][emoji16][emoji16]Kuna huyu na andjul wana mbinu zao wanazijua wenyewe aisee
Nyie maandaeitini nyie basi tu...
Mimi matani tu maneno mengi hapa ila nilishastaafu haya mambo kitambo sana [emoji16][emoji16][emoji16]. Huu ni wakati wenu bana!!!
Ingekuwa zamani wakati tunataniana kwa uhuru hapa ningewaambia kitu cha muhimu sana kikawasaidia hasa wakati wa probability za kutafuta wenzi wenu...Naelewa bro
Trump si ajabu wala hajui [emoji16][emoji16][emoji16]
Sema tu bro,,wala usione hatari tupo hapa kwa kujiburdsha na kuelimishana pia broIngekuwa zamani wakati tunataniana kwa uhuru hapa ningewaambia kitu cha muhimu sana kikawasaidia hasa wakati wa probability za kutafuta wenzi wenu...