Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mungu aturehemu ...wenye mahitaji ya rehema na awabariki wenye kutaka baraka pia awaneemeshe wenye kutaka neema...awahurumie ..wanaohitaji na kuomba huruma...awaponye wenye uhitaji wa kupona, awafariji na awapumzishe wanao teseka na mizigo...ikiwa ya maradhi..mashaka...mateso..kukosa amani ya nafsi...vita...njaa...dhiki...kufani... ... ...Tuseme Ameen!
 
Amen mkuu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…