hapo sasaWanaharakati uchwara si wanadai huyu jamaa ni dikteta? Kaikwaaje hii tuzo ya kimataifa?
Njema, hali yakoHabari za mchana huu ...watu wa Mungu...
Wapi hiyo, mbona Mbeya kuna mvua!!Jua kali jamani...
*Unampa Muhehe simu[emoji1701] acheze game ana maliza kucheza game[emoji452] ana kurudishia Una shangaa Emoj za Mbwa [emoji240][emoji190] hazipo*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuongoza bimadamu ni kazi ngumu sana..Wanaharakati uchwara si wanadai huyu jamaa ni dikteta? Kaikwaaje hii tuzo ya kimataifa?