Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee,hongera sana kupata bahat ya kuwa karbu na gwiji kama huyu ni kitu kizur na kumbukumbu kubwa sana
Alikuwa mtu simpo sana. Uandishi kwetu bado siyo kitu kinachoweza kumtoa mtu kimaisha kama huko kwa wenzetu ambako kitabu kimoja tu kikiwa ni best seller basi mtu unakula mamilioni ya dola...
 
Alikuwa mtu simpo sana. Uandishi kwetu bado siyo kitu kinachoweza kumtoa mtu kimaisha kama huko kwa wenzetu ambako kitabu kimoja tu kikiwa ni best seller basi mtu unakula mamilioni ya dola...
Bado pia watu wanaingia mzigoni wanatengeneza movie/series kali tu kupitia hcho hcho kitabu,,,jiulize riwaya za kina mtobwa,shaban robart au elvis msiba(willy gamba),,zingekuwa ni njee leo kungekuwa na movies nging sana zmeingia sokon kupitia uandishi vya vitabu vyao na kuweka rekodi kemkemi
 

Waziri wa sanaa na michezo ni Mwanasheria! Bongo Buana
 
Kitabu chako kikitengenezewa muvi au series basi ndo imetoka hiyo...Hata siye pengine Bongo muvi wakichukua kitabu chako wakakitengenezea muvi unaweza kupiga hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…