Mashaallah[emoji3531]View attachment 979054
Tayali tushafeli bro,,hakuna jinsi tenaWaziri wa sanaa na michezo ni Mwanasheria! Bongo Buana
Consuela hivi ni vidole chako?[emoji140]View attachment 979059
Bongo bado sana,,hatuna tamaduni ya kuamini mawazo ya watu,,acha tukomae na hz hz za kina NSYUKA [emoji23][emoji23][emoji23]Kitabu chako kikitengenezewa muvi au series basi ndo imetoka hiyo...Hata siye pengine Bongo muvi wakichukua kitabu chako wakakitengenezea muvi unaweza kupiga hela.
Kisima cha GiningiBwana Mohd Said Abdullah
(MSA )...
Aliandika vitabu vingi.
kimoja wapo ni siri ya sifuri...
Mkuu uliwahi kufanya kazi naye nguli Mtobwa? Nilikuwa namkubali sana Mtobwa. Mwenyezi Mungu amrehrmuNilikuwa namkubali sana huyu jamaa. Na alikuwa mtu mwema kwangu binafsi.
Hapana. Nilikuwa na shida fulani hivi nikaenda pale Kariakoo kwenye ofisi zake za Heko Publishers. Niliambiwa amekwenda kwenye maonyesho ya vitabu Mnazi Mmoja. Nilimfuata huko huko na akanitatulia shida yangu hapo hapo Mnazi Mmoja bila kusubiri kesho yake tena kwenda ofisini kwake. Kuanzia hapo tukajenga urafiki.Mkuu uliwahi kufanya kazi naye nguli Mtobwa? Nilikuwa namkubali sana Mtobwa. Mwenyezi Mungu amrehrmu