AiseeMti safi wa Krismasi...
View attachment 978996
Bado anajenga...
Mmh... magwiji wasio enziwa..Kisima cha Giningi
Kosa la Bwana MSA
Mwana wa Yungi Hulewa
Sherlock Holmes wetu huyu jamaa
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
Mbona kazi zake hazikujihusisha na siasa (moja kwa moja?). Unaweza kueleza mwisho wake ulivyokuwa? Napenda sana kujua historia ya magwiji hawa.Mmh... magwiji wasio enziwa..
Lakini huyu bwana kilimponza... ... siasa zetu huku za kushoto..
Alikufa dhalili...kwa ulevi uliotokana na msongo wa mawazo...
Bila kua na pesa ni sawa na hakuna kitu