ISIS hahahaacha kucheka kula like kimya kimya
Gonga like mwanamwaliPage ni nyingi za ku like duuh
mifupa sio sana anapenda minofuNamjua za mifupa pia anazikubali
Bado comments 2.7k
Kula likes zakoHizi likes walahi!
[emoji144] [emoji144]Hamna kipenzi ananisalimia tu
Naona kumekucha utapenda spidi ikifika bado 1000
Yaani weee usikose test hiyo ya 90k
Tukianzia malengo haya kwa 50k ilikuwa mtihani tumebakisha test moja ta 90k
Then mtihani mkubwa 100k
Ni raha kaa nasi uburudike
Kwa wanaotumia appNi rahisi highlight maneno unasoma
Ni rahisi kihivyo ndani ya masekunde
Eeeeeeh
Karibu uyaone mamboDah JF kuna mambo!