mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nafikiri liverpool watamkosaChristian Pulisic
LIVERPOOL imeripotiwa kwamba ipo karibu kabisa kuwapiku Arsenal na Chelsea kwenye mbio za kumnasa supastaa wa Borussia Dortmund, Christian Pulisic. Liverpool wamekoleza mwendo wao katika kuinasa huduma ya mchezaji huyo baada ya Bayern Munich kujiweka kando katika kumfukuzia winga huyo. Lakini, Chelsea wanamtaka kwa nguvu zote.
Hujambo mrembo#TANGAZO MAALUM
Nyie Watu Wa Mjini... Hii Tabia Ya Kuja Kijijini Kwa Ajili Ya Sikukuu Mnakuja Na Sukari Kilo 02, Unga Wa Ngano Kilo 03, Pilipili Kopo 03, Sabuni Miche 02, Tomato Sauce Kopo 04 Kisha Mnakaa Kijijini Siku 02 Mnaaga Kurudi Mjini... Halafu Mnataka Tuwape Mahindi Debe 06, Mchele Kilo 40, Kuku 05 Na Mihogo Debe 08.. Mjue Tumepiga Hesabu, Kikokotoo Mlichotumia Kinatuibia 105%.. [emoji23][emoji16][emoji3][emoji1][emoji7][emoji39][emoji38][emoji16][emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
arsenal ni ile ile kama ccm😝😝😝😝Yap ilikuwa nzuri sana baada ya kumpa mtu kipogo kitakatatifu
Ndivyo itakavyokuwaKRISMASI imepita na Liverpool wameketi kwenye kilele cha msimamo wa Ligi Kuu England.
Pointi 51 kibindoni zinatosha kwa kikosi hicho cha Jurgen Klopp chenye maskani yake Anfield kuamsha matumaini ya kubeba ubingwa wao wa kwanza wa Ligi Kuu England msimu huu.
Amepotelea wapi huyu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee hatari kubwaKwa wajuzi; hii ni pombe gani hii?
View attachment 981157
Hahaha kawaida tu mwaka huu wana timu ya kawaida sanaHuku salama kamanda. Nilikuwa nataka kuhama Aseno ila kwa kipigo cha jana ngoja nibakie bakie kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]
Sikuwa visiwani mkuu nilikwenda shamba si unajua kilimo uti wa mgongoEti niliyowafanyia jana wakati si ajabu ulikuwa Nansio huko unagonga supu ya sato. Ila kilikuwa kipigo kitakatifu kwa kweli....
Kabisa mkuuSalama mkuu...beki hamna pale
Mechi ngumu sanaCry vs Chel muda huu
Mkuu niaje mambo vipiAiseee
Faida za kutumia maziwa kiafya Maziwa hufanya mambo mengi mazuri Kwa ajili ya afya yako. December 27, 2018 at 12:29AM Faida za kutumia maziwa kiafya Maziwa hufanya mambo mengi mazuri Kwa ajili ya afya yako. - MKUU ONE BLOGUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeKuwahi muhimu sana (isipokuwa kwenye yale mambo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]).
Kwema bro?
Dj shitii,makena[emoji23][emoji23]The real househelps of kawangware.....
Kama bado uko singo. Eti hivi ndivyo majamaa yanavyomfaudu mke wako mtarajiwa right now. Kani yu bilivi iti? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]View attachment 981158