myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Huyu sijui kama atadumu....Alibadili baadhi ya vitu baada ya kutua Arsenal. Alibadili hata mfumo na kuifanya timu icheze anavyotaka yeye. Lakini ameshindwa kufanya kitu muhimu kwenye kuzima matobo yaliyopo kwenye safu yake ya mabeki.
Ubovu wa beki si tu umeumbuliwa na timu vigogo kwenye EPL, bali imeruhusu wavu wake kuguswa na timu za kawaida kabisa kama Burnley, Brighton na Southampton.
😂😂😂Wakati Ligi Kuu England ikiwa ndio kwanza imefika Desemba 31, Arsenal ya Emery imeruhusu mabao mengi kuliko kikosi kingine chochote cha Wenger alichowahi kukiunda kwenye timu hiyo. Safu ya mabeki ya Arsenal kwa sasa inapitisha mabao pengine kuliko chujio linavyopitisha maji.
Weka likes kwa postiNATAKA NIMJUE ANAEONGOZA KWA LIKE HUMU nataka kufanya mageuzi
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kabla hujafanya hivyo jaribu kujua sababu kwanza hasa kama mtu yuko mbali nawe. Wakati mwingine mtu anaweza kuwa yuko hospitali, jela au kaibiwa simu na wakati huo ndo anakuhitaji sana...
Nilikuwa nataka kuhama sasa kama mwendo ndo huu sihami ng'o [emoji16][emoji16][emoji16]Wakati Ligi Kuu England ikiwa ndio kwanza imefika Desemba 31, Arsenal ya Emery imeruhusu mabao mengi kuliko kikosi kingine chochote cha Wenger alichowahi kukiunda kwenye timu hiyo. Safu ya mabeki ya Arsenal kwa sasa inapitisha mabao pengine kuliko chujio linavyopitisha maji.
Wakiendelea hivi watafikisha mabao 100. Safi sana !!!Hii inatia mashaka makubwa, itakuwaje itakapofika mwishoni mwa msimu maana kuna mechi nyingine 18 mbele. Hali itakuwa mbaya zaidi.
We gonga likes tu mengine yaacheNATAKA NIMJUE ANAEONGOZA KWA LIKE HUMU nataka kufanya mageuzi
Hili nimejifunza the hard way. Kwa sasa nimeshawaambia anayetaka kufeud nami itabidi ajipange vizuri. Hata awe mkorofi namna gani. Maugomvi ya familia hayana faida sana sana ni kupunguziana mibaraka tu. Be a glue that bonds the family together bro...Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
#BringBackArseneWenger#Huyu sijui kama atadumu....
I am going to writing nothing [emoji36][emoji36][emoji36]