Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huku kwema bro. Mwaka mpya umeanza vyema sana. Na kwako pia mdogo wangu. Hebu mwaka huu na ukaweze kutimiza ndoto zako nyingi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asante sana kwa maneno ya busara bro,hakika baraka hz Mungu atazisikia na atazifanyia wepesi!!

Na kwako pia uwe na mwaka mwema na mafanikio tele.

INSHA ALLAH.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…