[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iandalie ugali kabisa basi! [emoji1][emoji1][emoji1]... Hawa yu duing’i Bro! [emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu binti yangu ananifurahishaga sana kwa kweli.
Amu duingi gudi namshukuru Mungu. Kwema huko?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Binti mpole, sijui ni kweli? Natamani asipaone hapo! [emoji1][emoji1][emoji1]... Huku kwema kabisa, kipupwe tu kimepamba moto!
Hahahaha anko yaan ishapita nusu karne ndio unakumbuka aiseeeeAnko hivi nilikutumiaga zawadi ya hepibasideituyu yako? Sitaki madeni yanitawale mwaka huu.
Sema ili kama nadaiwa nikumwagie[emoji28][emoji28]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimeonaaBinti mpole, sijui ni kweli? Natamani asipaone hapo! [emoji1][emoji1][emoji1]... Huku kwema kabisa, kipupwe tu kimepamba moto!