Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakuu mmewahi kuona id inajitwa 'Someone'?
Imelike baadhi ya posts zangu ila ID yenyewe haipo(ukiisearch).Pia notifications zake naziona kwenye simu tuu ila kwenye computer sizioni😳😳.Sijui ni mdudu 'bug' au ni nn.
 
Ukiona hivyo ni wale wasiojulikana wanakubipu bro [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mike Tyson alileta mvuvumko sana. Ndo maana hajatokea mwingine. Jamaa alikuwa anapiga wenzake kama vile wamemnyandulia mai waifu wake...View attachment 984072
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kila kitu ni upenzi na ushabiki, nimejaribu kuangalia mapigano ya Mzee Ali ili nipime ubora wake dhidi ya Tyson, hapana, Tyson bado kwangu ni bora zaidi. Ina wezekana ni vipindi vyao, basi, kila mtu alikuwa bora kipindi chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…