capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ooooh!
Jamaniii [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro bhanaMnaongelea nini? Nahisi kama mchongo fulani hivi hevi...
Kwenye hiyo tasnia hakuna cha kudesa wala nini. Hamasika kwa uangalifu na maombi mengi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ha haahOoooh!
Hongera sana bro...
Mi nilipiga miaka kadhaa ikanishinda...
Nauelewa sana usemi wa "kosea kujenga lakini usikosee mwenzi wa maisha"
Endeleeni kusimama imara na Mungu Akawajalie mbakie imara mzeeke pamoja mje mshuhudie vijukuu, vitukuu na vilembwe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Been there done that...[emoji16][emoji16][emoji16]Ha haah
Ukianguka unainuka Bro,
Vichwa vilivyopita .
Shida wakati ule ilikuwa ni kupata wasomi. Naona wazalendo walipopatikana wakawa replaced...