Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maandaeitini bana. Tupilia mbali hivi vinadharia vya kuokota okota huko vitabuni na IG. Wakati ukifika tu we sali sana upate mwenzi wa kweli anayejiheshimu hata kama rangi za taya hazifanani. Ukikosea tu imekula kwako haijalishi unambeba mgongoni kila uendako na kumfanyia kila liwezekanalo kihisia, kiuchumi na kimapenzi [emoji16][emoji16][emoji16]

#KuchapiwaHakuepukiki#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…