Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Na hii ndiyo hoja ya msingi kabisa
 

Pole sana ndugu yangu kweli wanaumiza na kurudisha nyuma lakini adhabu wapewazo si za kiungwana kabisa
 
HIVI KWANINI MODS WAMESEPA NA UZI WA JAMAA ALIEPIGWA LAKI TANO
Pengine watu walianza kutajana majina laivu...Ila kama ni kweli jamaa aliingizwa mkenge sana na inavyoonekana hata papuchi hakupata. Alikuwa anasubiri siku ya harusi...

Yeah. Humu, kama vile kokote kule, ni kuwa keafuu kwa sababu ukizubaa tu unapigwa [emoji16][emoji16][emoji16]
 

Siwezi kumlaumu ila jamaa amenizidi uzito mpaka Mimi yaani muda wote hajapata kitu wanawake wakipata boya wanalipiga kisawasawa pole yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…