Hawanaga huruma. Tena ukijifanya una upendo wa kweli, roho nzuri, morals na heshima ndo wanakuona zuzu kweli kweli. Halafu wakikutana na majamaa ngangari yasiyojali wanarudi tena na kuanza kulia lia kuwa wanaume wa siku hizi hovyo. Jamaa inaonekana alikuwa ameamini kabisa kuwa kapata mke bora na hakutaka hata kuonja utamu wa kitumbua kumbe mwenzake anamchora tu. Magumu sana haya mambo bro !!!
Kuna series kabisa imeanza jana inaitwa "Surviving R. Kelly". Humo wanaongea na wanawake ambao ama alishakanyaga au kuwadhalilisha kingono wakiwa bado underage. Naona wameamua kumwangusha jumla...Pamoja na kuwa mwanamuziki mwenye mafanikio makubwa katika historia ya muziki wa R&B, Kelly amekuwa akisakamwa kwa tuhuma za unyanyasaji wa ngono tangu mwaka 1990.
Makala hilo imefafanua uhusiano aliokuwa nao na mwanamuziki Aaliyah mwaka 1994, ambapo alimuoa Aliyah akiwa na umri wa miaka 15 wakati yeye akiwa na umri wa miaka 27.