Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani watu wameripuka utadhani hiyo ndege wameiona Kongwa inakuja Dar kwa barabara huku nyama ya mbuzi inaning'inia kwenye mabomba
 
Sasa hivi kuna tusi jipya limeanzishwa huko... Dahh!!
 
Kitendo cha Pochettino kumuingiza mshambuliaji wake tegemeo Harry Kane katika dakika za lala salama huku wakiwa wanaongoza kwa mabao 6-0 kimeonekana kuwakwaza mashabiki wa Spurs ambao wamekitafsiri kama cha hatari zaidi kuwahi kufanywa na kocha huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…