Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi nilikuwa nasaidia tu kufafanua maana ya Te Amo. Nategemea ungemjibu Wifey material 100% Te Amo to you too halafu ukasikilizia zali. Sasa badala yake unanikaba maswali mimi. Bro bana [emoji16][emoji16][emoji16]

Huku kwema...
Hahaha naona unatoa darasa [emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria mpya nchini Saudia inawalinda wanawake kutopewa talaka bila kujua. Kuanzia siku ya Jumapili , mahakama zitatakiwa kuwaelezea wanawake kupitia njia ya ujumbe wa simu kwamba wamepewa talaka.
Mawakili wanawake wanapendekeza kuwa hatua hiyo itamaliza kile kinachotajwa kuwa talaka za siri - ambapo wanaume hutoa talaka bila kuwaelezea wake zao.
Amri hiyo itahakikisha kuwa wanawake wanajua hali ya ndoa yao na itawalinda dhidi ya masurufu.
 
Mwaka uliopita marufuku ya wanawake kuendesha magari iliondolewa na mahakama nchini Saudia.
Hatahivyo wanawake bado wako chini ya usimamizi wa wanaume.
''Sheria hiyo mpya itahakikisha kuwa wanawake wanapewa haki zao za masurufu wakati wanapopewa talaka'', alisema wakili Nisreen al-Ghamdi.
Pia ina hakikisha kuwa uwezo wowote utakaotolewa na mahakama hautumiki vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…