[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]habari yako mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Salama
Kuna watu huwa wanakurupuka sana kwenye uwekezaji wa aina hii. Niliona hisa za Vodacom, mtu amenunua hisa lakini hajawahi kuziona financial statements za entity husika wala hajawahi kuhudhuria mikutano mikuu ya mwaka,anaujuaje kuwa msimamo wa kibiashara wa entity husika?! Jibu jepesi... "rafiki yangu kaniambia wanatoa gawio kubwa sana kwa mwaka" Kwa story za rafiki tu, mtu anavutiwa kuwekeza[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani elimu ya fedha na uwekezaji ni muhimu sana. Tatizo mtu akisikia kuwa kuna gawio hafuatilii kwa undani anakurupuka tu ananunua hisa. Haya mambo inabidi kupata elimu kwa undani kabla ya kufanya maamuzi.Kuna watu huwa wanakurupuka sana kwenye uwekezaji wa aina hii. Niliona hisa za Vodacom, mtu amenunua hisa lakini hajawahi kuziona financial statements za entity husika wala hajawahi kuhudhuria mikutano mikuu ya mwaka,anaujuaje kuwa msimamo wa kibiashara wa entity husika?! Jibu jepesi... "rafiki yangu kaniambia wanatoa gawio kubwa sana kwa mwaka" Kwa story za rafiki tu, mtu anavutiwa kuwekeza[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hakika. Kabla ya yote lazima upitie hesabu za kampuni angalau za miaka mitatu mfululizo (consolidated Balance sheets) ili kujiridhisha na assets (non current and current) walizo nazo, pia ratio ya capital na liability (deni lisizidi 1:1)kama ni rahisi kusetofu. Mungu atusaidie maana hata hilo lipo kisiasa. Wakimuona waziri kawekeza,kahamasisha watu wawekeze,utashangaa kesho yake habari inakuwa ndio hiyo hiyo kwa raiaYaani elimu ya fedha na uwekezaji ni muhimu sana. Tatizo mtu akisikia kuwa kuna gawio hafuatilii kwa undani anakurupuka tu ananunua hisa. Haya mambo inabidi kupata elimu kwa undani kabla ya kufanya maamuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app