Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nasikitika, kwanin nimewaza hivi:

Ndege inabeba watu 262, chukulia kwamba kila mtu ana uzito wa 70kg. Pia, Safari za kimataifa unaruhusiwa kuwa na mizigo 2 ya kilo 23 sawa 46kg hivyo ni 116kg. Jumla ni Tani 30 (262*116Kg).

Mbuzi ana 20kg sawa na mbuzi 1,520!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…