Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro naona Robert Kelly wamemkalia kooni atatoka salama kweli
Wanamchunguza tayari na wanawake wote waliodhalilishwa naye kingono wakati wakiwa underage wameombwa kupeleka malalamiko rasmi. Documentary hii imemwanika sana na sidhani kama atabakia salama...

Jamaa hafai aisee. Alikaoa kaAaliyah wakati kana miaka 15 na inasemekana alianza kukaburuza kakiwa na miaka 12 tu...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…