[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Daily News na mambo ya kuliwa kiboga wapi na wapi? [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji2211][emoji2211][emoji2211]Siyo kuambarutiwa kweli? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hakuna namna, acha sheria ichukue mkondo wakeWanamchunguza tayari na wanawake wote waliodhalilishwa naye kingono wakati wakiwa underage wameombwa kupeleka malalamiko rasmi. Documentary hii imemwanika sana na sidhani kama atabakia salama...
Jamaa hafai aisee. Alikaoa kaAaliyah wakati kana miaka 15 na inasemekana alianza kukaburuza kakiwa na miaka 12 tu...
View attachment 991044