moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
aiseee...safi sana
Mh!Konokono - njia rahisi ya kuongeza unyororo wa mwako wa sura yako [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 991080
😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Namwangalia hapa kwenye hii documentary daaah mzee Robert amekula sana embe na chumvi sisi tukiwa tunasubiri ziive mwenzetu anakula na chumviWanamchunguza tayari na wanawake wote waliodhalilishwa naye kingono wakati wakiwa underage wameombwa kupeleka malalamiko rasmi. Documentary hii imemwanika sana na sidhani kama atabakia salama...
Jamaa hafai aisee. Alikaoa kaAaliyah wakati kana miaka 15 na inasemekana alianza kukaburuza kakiwa na miaka 12 tu...
View attachment 991044
Bado unaamini hii kauli yako au umeshabadiri mawazo?Liverpool ndio timu bora kwa sasa duniani..