Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanamchunguza tayari na wanawake wote waliodhalilishwa naye kingono wakati wakiwa underage wameombwa kupeleka malalamiko rasmi. Documentary hii imemwanika sana na sidhani kama atabakia salama...

Jamaa hafai aisee. Alikaoa kaAaliyah wakati kana miaka 15 na inasemekana alianza kukaburuza kakiwa na miaka 12 tu...

View attachment 991044

Daah aisee Ngoja ni ipakue hii Documentary nimuone mzee wa kujiwahi kwa under 14 daah
 
255416655_96102~2.jpeg
 
Daah aisee Ngoja ni ipakue hii Documentary nimuone mzee wa kujiwahi kwa under 14 daah
Jamaa hafai. Itafute bro ujionee mwenyewe halafu ufanye mahitimisho. Baby mama wake (ex wife) ndiyo kamshambulia sana sana.

R. Kelly mwenyewe alikuwa sexually abused na dadake mkubwa tangu akiwa mtoto mdogo..
 
Back
Top Bottom