Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Wanamchunguza tayari na wanawake wote waliodhalilishwa naye kingono wakati wakiwa underage wameombwa kupeleka malalamiko rasmi. Documentary hii imemwanika sana na sidhani kama atabakia salama...
Jamaa hafai aisee. Alikaoa kaAaliyah wakati kana miaka 15 na inasemekana alianza kukaburuza kakiwa na miaka 12 tu...
View attachment 991044
Jamaa hafai. Itafute bro ujionee mwenyewe halafu ufanye mahitimisho. Baby mama wake (ex wife) ndiyo kamshambulia sana sana.Daah aisee Ngoja ni ipakue hii Documentary nimuone mzee wa kujiwahi kwa under 14 daah