Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anko hauishii maneno aisee,et ugali wa muhogo,,wasukuma wanauita ugali wa udaga bro Shimba Ya Buyenza kama nmekosea nsahihishe

Kwema ndugu yangu?
Namshukuru Mungu kanipa ujasiri wa kuutawala mwezi Njanwary. Hauniendeshi wala haunipelekeshi, yaani ni mwendo wa ku-shade tu tarehe kwenye kalenda[emoji28][emoji28][emoji28]
Haya vipi wewe na mbio za kwenye makorido?
 
Kweli kabsa,,huu mwez mgumi sana tofaut na miez mingine yote,,

Et kwenye makorido,,hahaa ndio wapi huko ankoo?[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…