Amina Inshaalah broNamshukuru Mungu, mwaka ule nimeuvuka salama. Tumuombe zaidi Mwenyezi Mungu tuvuuke salama mwaka 2019
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nimefurahi tu kukuona tena bro. Karibu tena. Natumaini mwaka mpya unaendelea vyema.
Naona ulikuwa Mwanza. Ushamba wa Wasukuma bila shaka umeushuhudia laivu huko [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahah asikujaze huyo bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmejiongeza tayali bro,,kweli kama kwa sababu ile ni lazma makoroboi asifike hata hyo Nyegez ukute alitajiwa tu
Huko sikufika jamaa ila nilienda hadi Geita wakati napita maeneo ya soko kuna mama nilimsikia akisema kona ya bwiru nikakukumbuka
sawa sawa bro[emoji23][emoji23]Hahahah asikujaze huyo bro
Sasa mimi simjui bro ata ningemuona ni ngumu kujua kua ndio yeye..[emoji23][emoji23][emoji23] pemben ya kona ya bwiru hukumuona ester??
Harakati za Pimbi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umenikumbusha harakati za mhusika mmoja katika gazeti hili. Hakuwahi kufanikiwa hata siku moja. Kila siku yeye ni kupoteza muda tu !!!
View attachment 991285