Una matatizo gani ninge?!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usha nianza ankoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaah ankoooView attachment 991406
Acha tu Ankoo,,natamani sana ningekuwa mm [emoji23][emoji23][emoji23]Una matatizo gani ninge?!!!
Au unatamani ungelikuwa ni wewe[emoji1][emoji1][emoji1]
Usha nianza ankoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mpendwa na kwako piaHappy new year
Aaah ningee,haneymuuuni yasije yakakutokea hayo ya kwenye miwani hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu Ankoo,,natamani sana ningekuwa mm [emoji23][emoji23][emoji23]
Tazama hii hali
View attachment 991408
Utekwaji wangu ule bro ulikuwa funga kazi...Mpaka nywila ilibidi niwe naomba rukhsa....Tamaa ya misambwanda hii itakuja kutuua aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Utekaji huu ni zaidi ya ule utekaji alofanyiwa bro Shimba[emoji23][emoji23][emoji23] ule wa kunyimwa hadi nyilwa
Selfie[emoji23][emoji23][emoji23]Kawaida tu anko. Nani atajua kama na sie tunamiliki laputopu View attachment 991407
Shukraini sana ndugu. Mungu atujaalie uzima na afya teleEewaaaa huo ndio uanaume sasa...
Tafuta usichoke, tumia nguvu na maarifa matunda hayachelewi kupatikana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jaman numbisa [emoji23][emoji23][emoji23]hufai hata kidogo wewe wallahAaah ningee,haneymuuuni yasije yakakutokea hayo ya kwenye miwani hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 991412
Niliona bro,,ilibidi tukuombee ndugu zako maana utekaji ule ulikuwa sio mchezo,,nilikuwa nakukuta kwenye uzi ule wa nyumba ni choo nikawa nacheka tu zile comment zako [emoji23][emoji23][emoji23]Utekwaji wangu ule bro ulikuwa funga kazi...Mpaka nywila ilibidi niwe naomba rukhsa....Tamaa ya misambwanda hii itakuja kutuua aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 991418
Keshasema atarudi....na inavyoonekana hata kwa miguu. Hakuna ujanja mbele ya konokono mbichi aliyeumuka mwenye ugiligili asilia wa moto...Kwa comment hii atarudi Mwanza tena
View attachment 991385
Duh!!Kama hapo dirishani[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 991359