Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niliona bro,,ilibidi tukuombee ndugu zako maana utekaji ule ulikuwa sio mchezo,,nilikuwa nakukuta kwenye uzi ule wa nyumba ni choo nikawa nacheka tu zile comment zako [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu inaonekana mbegu nilizopanda katika utekwaji ule zimejirutubisha na si ajabu kutakuwa na mavuno baadaye mwaka huu. Mungu ni mwema bro!!!

Kama alivyosema anko wako ukipenda haya mamisambwanda yaani hakuna steresi kabisaaaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…