Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila naona uzi bado tunausongesha vyema.
Now majukumu yanabana hata ufanisi wangu wa kusambaza like ka ilivyokuwa ada unaonekana kushuka.

Ila nitarudi na nguvu mpya hivi karibu shughuli tu za ujenzi wa taifa.


Usiku mwemah mbele daima tusongeshe uzi.
Hujanipa update mkuu. Nani kavishwa pete? Anyway, goodnight mkuu!
 
Mkuu saivi najenga family mkuu.

Ila naona mapenzi moto moto kwa jakitoo avatar yake umepeleka wapi? (Swali la kizushi)
Avatar tuliamua kuitoa kwa sababu mpaja ule ulikuwa unatesa sana mijibaba ya humu (including you). Mpaja ule is for my eyes only ndo maana tumeweka avatar ya kawaida tu.
 
Back
Top Bottom