Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimekupata bro!Namzungumzia God is bae kule furesh
Nimekupata bro!Namzungumzia God is bae kule furesh
Salama mkuu..Leo nimepewa onyo kubwa..Huyo carb-. Kwa sasa nimenyweaSema mkuu. How was your day? Umepiga hatua yo yote katika ile issue?
Yupo segerea ananywea kikombeMalinzi....
Pole...Usikate tamaa...Salama mkuu..Leo nimepewa onyo kubwa..Huyo carb-. Kwa sasa nimenyea
Yupo segerea ananywea kikombe
Tena inaelekea kwenye medulla oblongata...*Nimelala nikawa naota BILL GATE ananiamsha.."boss,boss amka chakula tayari"*
*...Eti jaman hii sio dalili ya malaria kweli...*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo bus sijui lina umri gani hapo
Zinatolewa ila na wewe toa ulizonazo!Hivi likes bado zinatolewa? Nauliza tu kwa sauti ya chini
Homa ya dengu hiyo Mkuu*Nimelala nikawa naota BILL GATE ananiamsha.."boss,boss amka chakula tayari"*
*...Eti jaman hii sio dalili ya malaria kweli...*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sammyluv yupo anapiga hela kwenye Forex mkuu. Kwema lakini?Sammyluv
Hahahahahahahaaaa