Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Nimelala nikawa naota BILL GATE ananiamsha.."boss,boss amka chakula tayari"*

*...Eti jaman hii sio dalili ya malaria kweli...*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena inaelekea kwenye medulla oblongata...

Lakini pia maisha ni mzunguko. Inawezekana siku moja ukawa bosi wake. Who knows?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…