Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Arsenal alicheza Arsenal hadi mwaka 2007, akifunga mabao 226 katika mechi 369. Alienda zake Barcelona kisha Marekani kabla ya kurudi tena Arsenal mwaka 2012 na kucheza mechi nne. Kwa ujumla wake, ameichezea Arsenal mara 373 na kufunga mabao 228.
 
Afadhali yake ni kuwa accuracy kwa kiasi flani lakini ni hatari nimewaza mfano uliotoa hapo Daah si mchezo Bro
Huwa nasali sana bro. Kuna kupotea mazima kama wale jamaa wa Malaysia. Au kuwa charred beyond recognition japo ni kifo cha haraka kizuri na kisicho na maumivu. Mkianza tu kuporomoka laivu ile G force na mabadiliko ya presha ya ghafla itawafanya mkate netiweki. Mkija kufika huku chini kujibamiza wala hamna habari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…