Umeona bro?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama sio, mbona wanapenda kufikia huku? Ina maana wanavutiwa na huu uzi tangu wakiwa wasomaji tu?Umeona bro?
Kazi kweli kweli...Kama sio, mbona wanapenda kufikia huku? Ina maana wanavutiwa na huu uzi tangu wakiwa wasomaji tu?
Haya mambo ya multiple haya, huu uzi ukirudi nyuma sana utashangaa Ids zilizo unganishwa, tulikuwa tunajibizana na mtu mmoja kwa Id tatu....