Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mathayo 5:27-28.

27. Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini; 28 lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

Marijali tusemezane tu. Ni wangapi tutaiona mbingu? Jizazi helupazi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 

Attachments

  • 9010a724-f1c6-4b59-8b90-2eec3c2a1fa8.jpeg
    46.7 KB · Views: 25
Hii picha ilikuwa kielelezo cha raha ulizo zipata matekani... Vijana wako hapa wakahangaika na matangazo wee, lakini wapi[emoji2][emoji2][emoji2]
Kweli nimeamini hata kuendesha gari kwenye barabara ya kokoto kuna raha yake... Mkuu wa utekaji anisaidie siku akiamua nitekwe basi aniletee limdada lenye mihips yake hiyooo, limsambwanda hilooo halafu lingozi jeupeeee peeee... [emoji1][emoji1][emoji1]

Haya maisha ya kufikirika haya Mungu atusamehe tu.

Habari ya majukumu kiongozi?
Mungu ni mwema yupo nasi daima.
 
Bro SHIMBA YA BUYENZE twende taratibu.
Sifa na heshima tumrudishie Mungu.

Kaka umepata mfaransa?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Huku kwema kiongozi. Dunia hiyoooo mkuku inazidi kujivingirisha kwenye mwendo wake usio na kikomo. Nasi kama vile nzi aliyevutiwa na harufu tamu ya ulimi wa kinyonga tumenasika mumo kwa mumo tunajivingirisha nayo. Tuendelee kumtegemea Mungu bila kukoma ili mwisho wa safari hii ambayo hatukuulizwa kama tulitaka kuisafiri ukawe mwema. Dadangu mpendeka na wapwa zangu majiniazi wafikishie salamu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…