moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
huyu hapendi ujinga kabisaaa, 😁😁😁
Nadhan Mostly huzungumza kama Mwana harakati ni mara chache sana ana Appear kama mwanasiasa/mwakirishi wa Jimbo lake!Kama anataka kuwa rais wetu 2020 inabidi awe calculated sana hasa kwa hawa wazungu. Nimeangalia midahalo yake. Yuko vizuri sana ila kidogo anahitaji polishing hasa kisaikolojia na hata strategically. Kama uko karibu naye niunganishe niwe consultant wake at large niwe nampa strategy zilizotulia kuhusu kujibu baadhi ya maswali na jinsi ya kubehave kama rais mtarajiwa. Vinginevyo I think he is ready to go in 2020 kama wenzake hawatampinga...
Hayo ni masikitiko yangu Juu ya Tasnia ya Habari Tanzania.Hapana. Siyo shallow wala nini. Waandishi hawa hawafanyi kazi katika ombwe. Wamo ndani ya jamii na wanaakisi vyema kinachoendelea humo. Kabla ya kuwahukumu jiridhishe kwanza kuhusu hali ya kisiasa, kiuchumi na hata kitamaduni wanamofanyia kazi...na elimu yao. Na ukumbuke kuwa "Kwa Kisukuma (Paschal) Mayala ni njaa" [emoji16][emoji16][emoji16]