capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu upo?
Habari ya majukumu kiongozi, Mungu ni mwema ametupa pumzi tuitumie kwa kutenda mema, moja wapo ya mema ni hii furaha tuipatayo hapa
Mambo ni fire aisee.
aimeeeen.Asante sana rafiki yangu mwema. Kwa muda mfupi tu umeyabadilisha maisha yangu kabisa. U rafiki wa kweli mwenye uelewa mpana wa mambo mengi yahusuyo maisha, ubinadamu, utu wema, usomi na kumcha Mungu. Kwa hakika nimeokota lulu katika shimo la takataka. Nakuombea tena na tena uishi maisha ya amani, upendo, furaha na matumaini. Mungu hatatuacha. Wewe ni Mwanamke and I mean it. Ubarikiwe hadi utimilifu wa dahari muhebi wangu [emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 997672
A bridge to Heaven
Aisee mbona umeweka picha yangu hapa
Skills.. wengi hawana hizi
Very Nice view
Hii sijaielewa!
Tulianzaga kutawaliwaga hivihivi.. walijichekesha kama wazuri vile
Just "Wow"
Kwa raha zake
Round is also a shape
Chai ya rangi ya maziwa?asubuhi ya chai
Aisee which one is the Mom?