Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nadhan Mostly huzungumza kama Mwana harakati ni mara chache sana ana Appear kama mwanasiasa/mwakirishi wa Jimbo lake!

Swala la Saikolojia yake ni kweli kabisa zingatia pia yaliyomkuta.

Kuhusu ukaribu, Hapana sipo karibu na mwanasiasa yeyote. Ingawa nadhani ni Rahisi kupata mawsiliano yake kama ukidhamiria.
 
Hayo ni masikitiko yangu Juu ya Tasnia ya Habari Tanzania.

HardTalk ya Kagame 2014, Nadhani hatokaa Asahau ie Interview.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…