Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

You pulled a mfalme suleman on me. Jamaa hakuwa fea kabisa. Yeye alifaudu kwa uBill Gates, hekima iliyopitiliza na wake 700 na masuria 300 halafu ndo anatuchimba mkwara hivyo. Noti fea kabisa !!!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unataka kutukumbusha kwamba jamaa hawakuwa fair kabisa
 
Kama ni demu sina tatzo nae kabisaa ingawa inakua poa akija na ID yake ya siku zote!

Issue inakua labda ni Wa kiume anataka kupata some details kukuhusu ana amua kuja kama JIKE, huu ni UBOYA.
Hapo sasa....Na mara nyingi likely ni midume. Mambo ya mtandaoni haya ni vurugu tupu...Wengine utakuja shangaa ni konki konki masta...
Naunga mkono hoja.
Halafu ID hizi zenyewe bado ni 'fake'(hatujuani) kama ni kutongoza si mtu atongoze kwa ID yake ya kawaida tuu.
 
Hapo sasa....Na mara nyingi likely ni midume. Mambo ya mtandaoni haya ni vurugu tupu...Wengine utakuja shangaa ni konki konki masta...

Ama ile Member wa kiume anatumia Avatar ya KIKE!

Kuna mmoja nilimtokea PM akanambia "Bro kausha!!"

Dah! Nikagundua utaratibu ni kusoma post za Muhusika kwanza kujua jinsia yake kabla hujazamia PM
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unataka kutukumbusha kwamba jamaa hawakuwa fair kabisa
Sasa wewe ulikuwa na wanawake elfu moja kweli una uhalali wa kukoromea watu kuhusu kupenda misambwanda? Eti mwisho wa yote ni kifo? So what?
 
Ama ile Member wa kiume anatumia Avatar ya KIKE!

Kuna mmoja nilimtokea PM akanambia "Bro kausha!!"

Dah! Nikagundua utaratibu ni kusoma post za Muhusika kwanza kujua jinsia yake kabla hujazamia PM
Umenichekesha aisee. Ukazama PM halafu ukakutana na msauti mzito wa jibaba. Kazi kweli kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sasa wewe ulikuwa na wanawake elfu moja kweli una uhalali wa kukoromea watu kuhusu kutopenda misambwanda? Eti mwisho wa yote ni kifo? So what?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Najua ungepata nafasi nae ya one to one lazima ungemwambia kwamba hakuwa fair
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Uzi wa likes ni jumba la utani, kituo cha elimu, kituo cha michezo na furaha.
Povu zielekezwe jukwaa la siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…