Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mianasiasa !!!Tumefika huko!!!?
Mmmh unaweza jikuta umekuwa mkimbizi kutoka nchi isiyo na vita
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri nimezingatia.Kwa sasa niko home Mbagala bro. Nimeshakaa sana hiyo mitaa na hayo mavimbunga yao. Ni sehemu nzuri kwa kujisahaulisha mikwara ya Mfalme Sulemani hasa kama una madola yako. Beef atapapenda !
Huyu Mjita [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Duh,,mhaya na kikukuu au kwa ajir ya hyo miguu ya shampeni?
Lakini mademu nao ukiwafakamia kwa fujo hautainjoy tena.Jamaa alikuwa na busara tena. Angekwepa kiaina [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Ila jamaa alikula maisha. Wanawake elfu moja duh. Hata ukilala kwa mmoja siku moja moja itakuchukua zaidi ya miaka miwili na ushee kuwazungukia wote. Think about that bro. Na kwa vile alikuwa mfalme wote hawa lazima walikuwa wakali balaa. Jamaa aliishi kwa kweli ndo maana hakuamini uzee na kifo vilipomjia akaishia kuchimba biti kuwa eti yote ni kujilisha upepo [emoji16][emoji16][emoji16]
Mh! Hapana kwakweli.Huyu Mjita [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mguu Bro,Duh,,mhaya na kikukuu au kwa ajir ya hyo miguu ya shampeni?
You want proof?Mh! Hapana kwakweli.
Anafanya nini? Mwambie ajiandae. Huyo mwenzake ni mzuri sana kwenye fimbo [emoji16][emoji16][emoji16]
Bro hao wajita ni dada zangu na shangazi zangu!Wahaya ni mama zangu na dada zangu pia nawajua kuliko unadhania.You want proof?
Mkuu nashukuru, ila sijawahi kumpenda mwanamke kwa kuangalia jina, picha yake ya bandia na hoja tu alizoweka mtandaoni.Utapigwa halafu uje kuanzisha uzi wa ajabu kule MMU [emoji16][emoji16][emoji16]
Ok,,unapenda miguu ya dizain hyo sio?Mguu Bro,