Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh. Sikuwa nalijua hili. Asante kwa tahadhari hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kama ni kweli sis japo inameki sensi kisayansi. Ndiyo maana masimu ya zamani yale (hata haya ya sasa) ilikuwa inashauriwa kuyazima ukiwa unaweka mafuta kwenye gari kwa sababu vapour zinaweza kuripuka zikiingiliana na mawimbi ya kwenye simu. Hata kwenye gesi sitashangaa hili likitokea. Ni vizuri kuchukua tahadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…