Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani jikoni yatatushinda wengine fullu kuongea na simu.. hatari sana
 
Ingawa vya kona ya Bwiru ni vya chumvi?
Mgeni unaijua misemo yote ya kwenye uzi huu. Safi sana aisee. Wengine ilituchukua miezi [emoji122][emoji122][emoji122]
Ushafika kona ya bwiru?
Napajua Mwanza hiyo sehemu so kutokana na maongezi na nilichokiona kule nimeadd 1+1
Kuna wazawa hapa ingawa tunaweza kuwaona ni wageni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…