Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mashabiki wa Manchester United kwa sasa wamekuwa kwenye furaha kubwa kutokana na ujio wa kocha wa muda Ole Gunnar-Solskjaer, aliyerudisha amani kwenye kikosi hicho na mambo kwenda sawa ndani na nje ya uwanja.
Safi,
Mourinho alikua anajiona kwamba yeye ndiye mshambuliaji, kiungo, beki na pia kipa.
Huko aliko akiiona Man U inavyosakata soka lazima ajifunze kitu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…