Unamaanisha Yesaya Mwailolo, au yule Bima zama zile, MwaikamboKama unaikumbuka NIC ya zamani chini ya yule mnyakyusa ndio utaujua undugu wa hii "miamba" miwili.
Tumshukuru Mungu kwa afya na uzima tulio nao. Jumapili imekwendaje huko mkuu?
Wacha niitafute sura yako piaYes.. lakini yangu meusi
Hapa atapoteza mechi mbiliUnited's Next 5 League games.
Burnley
Leicester
Fulham
Liverpool
Crystal Palace
Why did you google in medical dictionary though.. lazma upate ugonjwa.. bado bado ... you are nearly there..unakaribia G spot
Kuna baadhi zimefungwa kupisha msimu wa kuzaliana wanyama,Huku salama kabisa. Sema wewe. Huko kwenye mbuga zetu kukoje?
Hahaha sura yangu ipo kwy AvatarWacha niitafute sura yako pia
Hahahahahaaha, unakula chips yai unaenda kwenye mashindano ya kiume[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] RIP kijanaRIP KIJANA. UMEKUFA KISHUJAA UKIPIGANIA HESHIMA YA UKOO. UMEKUFA KIFO CHA HESHIMA SANA [emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 1000537
Inasemekana....
Kakimbaumbau [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Brows and eyes like mine..