Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
William Gallas
na Kolo Toure
Ugomvi wa walinzi hawa wa zamani wa Arsenal ulikuwa mkubwa kiasi hawakuwa wanaongea hata uwanjani ingawa nafasi yao iliwapasa wawe wanaongea mara kwa mara kwa ajili ya kukumbushana majukumu. Inasemekana chanzo cha ugomvi wao kilitokana na Gallas kukaa katikati ya uwanja akigoma kuangalia penalti iliyokuwa inapigwa katika lango la Arsenal. Hata hivyo, Toure anadai kulikuwa na chanzo kingine kikubwa zaidi. Staa huyu wa Ivory Coast aligoma kusema chochote huku akidai “Kama tukianza kuongelea kuhusu hilo nadhani itakuwa habari kubwa”.